1 Nya. 6:77 Swahili Union Version (SUV)

Nao mabaki ya Walawi, wana wa Merari, wakapewa, katika kabila ya Zabuloni; Rimona pamoja na viunga vyake, na Tabori pamoja na viunga vyake;

1 Nya. 6

1 Nya. 6:75-81