72. na katika kabila ya Isakari; Kishioni pamoja na viunga vyake, na Daberathi pamoja na viunga vyake;
73. na Remethi pamoja na viunga vyake, na En-gaminu pamoja na viunga vyake;
74. na katika kabila ya Asheri; Mishali pamoja na viunga vyake, na Abdoni pamoja na viunga vyake;
75. na Helkathi pamoja na viunga vyake, na Rehobu pamoja na viunga vyake;
76. na katika kabila ya Naftali; Kedeshi katika Galilaya pamoja na viunga vyake, na Hamothi pamoja na viunga vyake, na Kiriathaimu pamoja na viunga vyake.