1 Nya. 6:60 Swahili Union Version (SUV)

tena katika kabila ya Benyamini; Geba pamoja na viunga vyake, na Alemethi pamoja na viunga vyake, na Anathothi pamoja na viunga vyake. Miji yao yote katika jamaa zao ilikuwa miji kumi na mitatu.

1 Nya. 6

1 Nya. 6:55-66