37. mwana wa Tahathi, mwana wa Asiri, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora;
38. mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, mwana wa Israeli.
39. Na nduguye Asafu, aliyesimama upande wake wa kuume, huyo Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Shimea;
40. mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya, mwana wa Malkiya;
41. mwana wa Yeatherai, mwana wa Zera, mwana wa Ido;