1 Nya. 6:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Wana wa Lawi; Gershoni, na Kohathi, na Merari.

2. Na wana wa Kohathi; Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.

3. Na wana wa Amramu; Haruni, na Musa, na Miriamu. Na wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.

1 Nya. 6