1 Nya. 5:2 Swahili Union Version (SUV)

Kwani Yuda ndiye aliyeshinda miongoni mwa nduguze, na kwake ndiko alikotoka mtawala; bali haki ile ya mzaliwa wa kwanza alipewa Yusufu);

1 Nya. 5

1 Nya. 5:1-3