1 Nya. 4:33 Swahili Union Version (SUV)

na vijiji vyao vyote vilivyoizunguka miji iyo hiyo, mpaka Baali. Hayo ndiyo makao yao, na hati ya nasaba yao wanayo.

1 Nya. 4

1 Nya. 4:30-42