1 Nya. 3:22-24 Swahili Union Version (SUV)

22. Na wana wa Shekania ni hawa; Shemaya, na wana wa Shemaya; Hatushi, na Igali, na Baria, na Nearia, na Shafati, watu sita.

23. Na wana wa Nearia; Elioenai, na Hezekia, na Azrikamu, watu watatu.

24. Na wana wa Elioenai; Hodavia, na Eliashibu, na Pelaya, na Akubu, na Yohana, na Delaya, na Anani, watu saba.

1 Nya. 3