1 Nya. 29:9 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo hao watu wakafurahi, kwa sababu wametoa kwa hiari yao wenyewe, kwa sababu kwa ukamilifu wa moyo, kwa hiari yao wenyewe, wamemtolea BWANA; mfalme Daudi naye akafurahi kwa furaha kuu.

1 Nya. 29

1 Nya. 29:1-12