1 Nya. 28:12 Swahili Union Version (SUV)

na mfano wa yote aliyokuwa nayo kwa roho, katika habari ya nyua za nyumba ya BWANA, na ya vyumba vyote vilivyoizunguka, ya hazina za nyumba ya Mungu, na ya hazina za vitu vilivyowekwa wakfu;

1 Nya. 28

1 Nya. 28:9-21