1 Nya. 26:8 Swahili Union Version (SUV)

Hao wote walikuwa wana wa Obed-edomu; wao na wana wao na ndugu zao, watu hodari wawezao huo utumishi; watu wa Obed-edomu sitini na wawili.

1 Nya. 26

1 Nya. 26:1-13