21. ya kumi na nne Matithia, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
22. ya kumi na tano Yeremothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
23. ya kumi na sita Hanania, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
24. ya kumi na saba Yoshbekasha, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
25. ya kumi na nane Hanani, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
26. ya kumi na kenda Malothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
27. ya ishirini Eliatha, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
28. ya ishirini na moja Hothiri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
29. ya ishirini na mbili Gidalti, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
30. ya ishirini na tatu Mahaziothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
31. ya ishirini na nne Romanti-ezeri, wanawe na nduguze, kumi na wawili.