1 Nya. 24:2 Swahili Union Version (SUV)

Lakini hao Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, wala hawakuwa na watoto; kwa hiyo Eleazari na Ithamari wakafanya ukuhani.

1 Nya. 24

1 Nya. 24:1-6