1 Nya. 23:13 Swahili Union Version (SUV)

Wana wa Amramu; Haruni na Musa; naye Haruni akatengwa, ili ayatakase yaliyo matakatifu sana, yeye na wanawe milele, ili kufukiza uvumba mbele za BWANA, kumtumikia, na kubariki kwa jina lake, milele.

1 Nya. 23

1 Nya. 23:4-22