1 Nya. 21:5 Swahili Union Version (SUV)

Naye Yoabu akamtolea Daudi jumla ya hesabu ya watu. Na hao wote wa Israeli walikuwa watu elfu mara elfu, na mia elfu, wenye kufuta panga; na wa Yuda watu mia nne na sabini elfu, wenye kufuta panga.

1 Nya. 21

1 Nya. 21:3-15