1 Nya. 21:13 Swahili Union Version (SUV)

Naye Daudi akamwambia Gadi, Nimeingia katika mashaka sana; basi sasa na nianguke katika mkono wa BWANA; kwa kuwa rehema zake ni nyingi sana; wala nisianguke katika mkono wa wanadamu.

1 Nya. 21

1 Nya. 21:7-20