1 Nya. 2:34-36 Swahili Union Version (SUV)

34. Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha.

35. Basi akamwoza binti yake aolewe na Yarha, mtumwa wake; naye akamzalia Atai.

36. Na Atai akamzaa Nathani; na Nathani akamzaa Zabadi;

1 Nya. 2