1 Nya. 16:41 Swahili Union Version (SUV)

na pamoja nao Hemani na Yeduthuni, na wale wengine waliochaguliwa, waliotajwa majina yao, ili kumshukuru BWANA, kwa kuwa fadhili zake ni za milele;

1 Nya. 16

1 Nya. 16:34-43