1 Nya. 15:25 Swahili Union Version (SUV)

Basi Daudi, na wazee wa Israeli, na maakida wa maelfu, wakaenda, ili kulipandisha sanduku la agano la BWANA kutoka nyumbani mwa Obed-edomu kwa furaha kuu;

1 Nya. 15

1 Nya. 15:18-29