1 Nya. 13:8 Swahili Union Version (SUV)

Wakacheza Daudi na Israeli wote, mbele za Mungu, kwa nguvu zao zote; na kwa nyimbo na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa matoazi, na kwa tarumbeta.

1 Nya. 13

1 Nya. 13:3-14