1 Nya. 13:6 Swahili Union Version (SUV)

Basi Daudi akapanda, yeye na Israeli wote, mpaka Baala, ndio Kiriath-yearimu, ulio wa Yuda, ili kulileta toka huko sanduku la Mungu, BWANA akaaye juu ya makerubi, lililoitwa kwa Jina lake.

1 Nya. 13

1 Nya. 13:1-11