1 Nya. 12:9-13 Swahili Union Version (SUV) Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu; Mishmana wa nne, Yeremia wa tano; Atai wa sita, Elieli wa saba;