1 Nya. 12:2 Swahili Union Version (SUV)

Walikuwa wenye kupinda upinde, nao walikuwa hodari wa kutumia mkono wa kuume na wa kushoto, kwa kutupa mawe ya teo, na kwa kupiga mishale ya upinde; walikuwa wa nduguze Sauli, wa Benyamini.

1 Nya. 12

1 Nya. 12:1-9