1 Nya. 12:18 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo roho ikamjilia Abishai, mkuu wa wale thelathini, naye akasema,Sisi tu watu wako, Ee Daudi;Na wa upande wako, Ee mwana wa Yese;Amani, naam, amani iwe kwako,Na amani iwe kwao wakusaidiao;Maana akusaidiye ndiye Mungu wako.Ndipo Daudi akawakaribisha, akawaweka wawe maakida wa kile kikosi.

1 Nya. 12

1 Nya. 12:15-24