41. Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;
42. Adina mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, na thelathini pamoja naye;
43. Hanani mwana wa Maaka, na Yoshafati Mmithni;
44. Uzia Mwashterathi, Shama na Yeieli wana wa Hothamu Mwaroeri;
45. Yediaeli mwana wa Shimri, na Yoha nduguye, Muzi;
46. Elieli Mmahawi, na Yeribai, na Yoshavia, wana wa Elnaamu, na Ithma Mmoabi;
47. Elieli, na Obedi, na Yaasieli Mmesobai.