1 Nya. 11:37-41 Swahili Union Version (SUV)

37. Hezro Mkarmeli, Paarai mwana wa Ezbai Mwarki;

38. Yoeli nduguye Nathani, Mibhari mwana wa Hagri;

39. Seleki Mwamoni, Naharai Mbeorothi, mchukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

40. Ira Mwithri, Garebu Mwithri;

41. Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;

1 Nya. 11