32. Hurai wa vijito vya Gaashi, Abieli Mwaibathi;
33. Azmawethi Mbaharumi, Eliaba Mshaalboni;
34. wana wa Yasheni Mgiloni, Yonathani mwana wa Shama Mharari;
35. Ahiamu mwana wa Sharari Mharari, Elifeleti mwana wa Ahasbai; Heferi
36. Mmaakathi, Ahia Mpeloni;
37. Hezro Mkarmeli, Paarai mwana wa Ezbai Mwarki;
38. Yoeli nduguye Nathani, Mibhari mwana wa Hagri;
39. Seleki Mwamoni, Naharai Mbeorothi, mchukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
40. Ira Mwithri, Garebu Mwithri;
41. Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;