1 Nya. 11:31-35 Swahili Union Version (SUV)

31. Itai mwana wa Ribai wa Gibea wa wana wa Benyamini, Benaya Mpirathoni;

32. Hurai wa vijito vya Gaashi, Abieli Mwaibathi;

33. Azmawethi Mbaharumi, Eliaba Mshaalboni;

34. wana wa Yasheni Mgiloni, Yonathani mwana wa Shama Mharari;

35. Ahiamu mwana wa Sharari Mharari, Elifeleti mwana wa Ahasbai; Heferi

1 Nya. 11