1 Nya. 11:13 Swahili Union Version (SUV)

Huyo alikuwa pamoja na Daudi huko Pasdamimu; ndiko Wafilisti walikokusanyika vitani, palipokuwa na konde limejaa shayiri; na hao watu wakakimbia mbele ya Wafilisti.

1 Nya. 11

1 Nya. 11:12-20