1 Nya. 10:7 Swahili Union Version (SUV)

Kisha watu wote wa Israeli, waliokuwa huko bondeni, walipoona ya kuwa wamekimbia, na ya kuwa Sauli na wanawe wamekufa, wakaiacha miji yao, wakakimbia; nao Wafilisti wakaenda wakakaa humo.

1 Nya. 10

1 Nya. 10:5-14