1 Nya. 10:13 Swahili Union Version (SUV)

Basi Sauli alikufa kwa sababu ya kosa lake alilomkosa BWANA, kwa sababu ya neno la BWANA, asilolishika; na tena kwa kutaka shauri kwa mwenye pepo wa utambuzi, aulize kwake,

1 Nya. 10

1 Nya. 10:4-14