1 Nya. 1:9-11 Swahili Union Version (SUV)

9. Na wana wa Kushi; Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama; Sheba, na Dedani.

10. Kushi naye akamzaa Nimrodi; yeye akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.

11. Na Misri akazaa Waludi, na Waanami, na Walehabi, na Wanaftuhi,

1 Nya. 1