1 Nya. 1:52-54 Swahili Union Version (SUV)

52. na jumbe Oholibama, na jumbe Ela, na jumbe Pinoni;

53. na jumbe Kenazi, na jumbe Temani, na jumbe Mibsari;

54. na jumbe Magdieli, na jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu.

1 Nya. 1