1 Nya. 1:22-25 Swahili Union Version (SUV)

22. na Obali, na Abimaeli, na Sheba;

23. na Ofiri, na Havila, na Yobabu. Hao wote ndio wana wa Yoktani.

24. Shemu, na Arfaksadi, na Sala;

25. na Eberi, na Pelegi, na Reu;

1 Nya. 1