1 Kor. 7:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

2. Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

1 Kor. 7