lakini, kama ilivyoandikwa,Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia,(Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,)Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.