1 Fal. 8:9 Swahili Union Version (SUV)

Hamkuwa na kitu ndani ya sanduku, ila zile mbao mbili za mawe ambazo Musa aliziweka ndani huko Horebu, BWANA alipofanya agano na wana wa Israeli, hapo walipotoka katika nchi ya Misri.

1 Fal. 8

1 Fal. 8:8-11