1 Fal. 8:6 Swahili Union Version (SUV)

Makuhani wakalileta sanduku la agano la BWANA hata mahali pake, katika chumba cha ndani cha ile nyumba, patakatifu pa patakatifu, naam, chini ya mbawa za makerubi.

1 Fal. 8

1 Fal. 8:1-8