1 Fal. 8:59 Swahili Union Version (SUV)

Na maneno yangu haya, niliyoyaomba mbele za BWANA, na yawe karibu na BWANA, Mungu wetu, mchana na usiku, ili aitetee haki ya mtumishi wake, na haki ya watu wake Israeli, kwa kadiri ya haja zao za kila siku.

1 Fal. 8

1 Fal. 8:53-65