1 Fal. 8:35 Swahili Union Version (SUV)

Ikiwa mbingu zimefungwa, hata hakuna mvua, kwa sababu wamekukosa wewe; kama wakiomba wakikabili mahali hapa, na kulikiri jina lako, na kuiacha dhambi yao, wakati ule utakapowatesa;

1 Fal. 8

1 Fal. 8:26-44