1 Fal. 8:11 Swahili Union Version (SUV)

hata makuhani hawakuweza kusimama ili kufanya huduma yao, kwa sababu ya wingu lile; kwa kuwa nyumba ya BWANA ilikuwa imejaa utukufu wa BWANA.

1 Fal. 8

1 Fal. 8:2-18