Tena Huramu akazifanya birika, na majembe, na mabakuli.Hivyo Huramu akazimaliza kazi zote alizomfanyia mfalme Sulemani katika nyumba ya BWANA;