1 Fal. 7:29 Swahili Union Version (SUV)

na juu ya papi zilizokuwa katikati ya vipandio kulikuwa na simba, na ng’ombe, na makerubi; na juu ya vipandio kulikuwa na tako; na chini ya simba na ng’ombe kulikuwa na masongo ya kazi ya kupembeza.

1 Fal. 7

1 Fal. 7:21-32