1 Fal. 7:20 Swahili Union Version (SUV)

Kulikuwako tena taji juu ya nguzo mbili, karibu na uvimbe uliokuwako kando ya wavu; na makomamanga yalikuwa mia mbili, safu safu pande zote juu ya taji ya pili.

1 Fal. 7

1 Fal. 7:10-29