1 Fal. 6:9-11 Swahili Union Version (SUV)

9. Basi ndivyo alivyoijenga nyumba, akaimaliza; akaifunika nyumba kwa boriti na mbao za mwerezi.

10. Akavijenga vyumba mbavuni mwa nyumba yote, kwenda juu kwake kila kimoja kilikuwa mikono mitano; vikaitegemea nyumba kwa boriti za mwerezi.

11. Neno la BWANA likamjia Sulemani, kusema,

1 Fal. 6