1 Fal. 4:31 Swahili Union Version (SUV)

Kwa kuwa alikuwa na hekima kuliko watu wote; kuliko Ethani Mwezrahi, na Hemani, na Kalkoli, na Darda, wana wa Maholi; zikaenea sifa zake kati ya mataifa yote yaliyozunguka.

1 Fal. 4

1 Fal. 4:22-32