1 Fal. 4:17-20 Swahili Union Version (SUV)

17. Yehoshafati mwana wa Parua, katika Isakari.

18. Shimei mwana wa Ela, katika Benyamini.

19. Geberi mwana wa Uri, katika nchi ya Gileadi, nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, na Ogu mfalme wa Bashani; naye alikuwa akida wa pekee katika nchi hiyo.

20. Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa pwani kwa wingi, wakila, na kunywa, na kufurahi.

1 Fal. 4