1 Fal. 4:16-18 Swahili Union Version (SUV)

16. Baana mwana wa Hushai, katika Asheri na Bealothi.

17. Yehoshafati mwana wa Parua, katika Isakari.

18. Shimei mwana wa Ela, katika Benyamini.

1 Fal. 4