1 Fal. 22:39 Swahili Union Version (SUV)

Na mambo yote ya Ahabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na nyumba ya pembe aliyoijenga, na miji yote aliyoijenga, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?

1 Fal. 22

1 Fal. 22:30-40