1 Fal. 22:30 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, Nitajibadilisha, na kuingia vitani; lakini wewe uvae mavazi yako. Mfalme wa Israeli akajibadilisha, akaingia vitani.

1 Fal. 22

1 Fal. 22:23-35